7 Photos
+2
Makazi
Kiwanja cha Ekari 0.13 Laizer, Moshono – Maji na Umeme Vipo
Laizer, Moshono, Arusha
Ukubwa
526 m² (0.13 ekari)
Vipimo vya Kiwanja
22 x 21 x 28 x 22m
Aina ya kiwanja
Makazi
Aina ya udongo
Udongo mweusi (Black Cotton)
Mkoa
Arusha
Kata
Moshono
Eneo
Laizer
Huduma na miundombinu
Barabara
✓ Maji
✓ Umeme
✓ Maelezo
Kiwanja chenye ukubwa wa takriban 538 sqm (ekari 0.13) kinapatikana Laizer, Moshono, eneo linalokua na lenye fursa nzuri kwa ujenzi wa makazi.
Kiwanja kina barabara ya kufikika, pamoja na maji na umeme, hivyo kinafaa kwa mtu anayepanga kuanza ujenzi au kuwekeza kwa ajili ya maendeleo ya baadaye.
Ukubwa wake unafaa kwa ujenzi wa nyumba ya familia, nyumba za kupanga, au kwa uwekezaji wa ardhi.
Eneo
Bei
TZS 18,000,000
≈ TZS 138.5M kwa ekari
Uliza kuhusu kiwanja hiki Mmiliki amethibitishwa
Tunapanga ziara ya kuona kiwanja
Msaada hadi mwisho wa manunuzi
Namba ya kiwanja: 30393905
Viwanja vinavyofanana
Makazi
1 / 10 TZS 18M
Viwanja Vizuri Vinauzwa Maroroi, Arusha – Umbali wa 1.6km kutoka Barabara ya East Africa, Maji na Umeme Vipo
Maroroi, Nduruma, Arusha
600 m² (0.15 ekari)
20m × 30m
Angalia →
Makazi
1 / 9 TZS 17M
Kiwanja cha 20m x 20m Kiserian kilichopo karibu na barabara kuu ya Naberera
Kiserian, Mlangarini, Arusha
400 m² (0.1 ekari)
20m × 20m
Angalia →
Makazi
1 / 25 TZS 20M
Kiwanja Tulivu cha Makazi cha 25×30m Kinauzwa Kiserian – Karibu na Mto Kijenge
Kiserian, Mlangarini, Arusha
750 m² (0.15 ekari)
25m × 30m
Angalia →
Makazi
1 / 12 TZS 21M
Kiwanja cha Makazi Mita 110 Kutoka Barabara Kuu ya Naberera – Muungano, Kiserian
Muungano, Mlangarini, Arusha
619 m² (0.15 ekari)
Angalia →