Viwanja / Muungano, Mlangarini
Kiwanja chenye Nyumba Kinauzwa – Ekari 0.43, Muungano Kiserian (Mita 100 kutoka Barabara ya Naberera)
Mpya
22 Photos
Makazi Mpya

Kiwanja chenye Nyumba Kinauzwa – Ekari 0.43, Muungano Kiserian (Mita 100 kutoka Barabara ya Naberera)

Muungano, Mlangarini, Arusha
Ukubwa
1,376 m² (0.34 ekari)
Aina ya kiwanja
Makazi
Aina ya udongo
Udongo mwekundu
Mkoa
Arusha
Kata
Mlangarini
Eneo
Muungano

Huduma na miundombinu

Barabara
Mita 100 had Naberera bara bara kuu
Maji
Umeme

Maelezo

Kinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa takribani ekari 0.43 (mita za mraba 1,730) kilichopo Muungano, Kiserian, kikiwa na nyumba tayari katika mazingira tulivu na yanayokua kwa kasi. Kiwanja kiko umbali wa mita 100 tu kutoka barabara kuu ya Naberera, hivyo ni rahisi kufikika huku kikiwa na mazingira ya kijani na miti ya asili. Sifa za Kiwanja: Kuna nyumba tayari ndani ya kiwanja Eneo kubwa lenye nafasi ya kupanua au kuongeza majengo Mazingira mazuri yenye miti na kivuli Karibu sana na barabara kuu (mita 100 tu) Kinafaa kwa makazi, kupanga au kilimo kidogo Inafaa Kwa: Kujenga makazi ya familia Uwekezaji au kupangisha Matumizi mchanganyiko (kuishi na kilimo) Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja chenye nyumba tayari katika eneo lenye maendeleo yanayoendelea.

Eneo

Bei
TZS 47,250,000
≈ TZS 139.0M kwa ekari
Uliza kuhusu kiwanja hiki
Mmiliki amethibitishwa
Tunapanga ziara ya kuona kiwanja
Msaada hadi mwisho wa manunuzi
Namba ya kiwanja: 69323162

Viwanja vinavyofanana

Makazi
1 / 15
TZS 35M

Nyumba tayari kukamilishwa kwenye kiwanja cha 29×43m, Muungano, umbali wa km 1 kutoka barabara kuu

Muungano, Mlangarini, Arusha
1,247 m² (0.3 ekari)
29m × 43m
Angalia →
Makazi
1 / 11
TZS 32M

Kiwanja cha 20×40m Lesoit, Kiserian Kinafaa Kugawanywa Katika Eneo Linalokua kwa Kasi

Lesoit, Mlangarini, Arusha
800 m² (0.2 ekari)
20m × 40m
Angalia →
Makazi
1 / 9
TZS 63M · TZS 37.1M kwa ekari

Shamba zuri la ekari 1.7 Olodenderit

Olodenderit, Nduruma, Arusha
1.7 ekari
16m x 180m x 94m x 137m
Angalia →
Makazi
1 / 8
TZS 65M

Kiwanja Cha 1,373 sqm Kilichopimwa na Hati Karibu na Gomba Estate Area – Manyire, Arumeru

Manyire, Arumeru, Arusha
1,457 m² (0.36 ekari)
Angalia →