Mpya
17 Photos
+12
Kilimo Mpya
Shamba la Kilimo Ekari 1.2 Kichangani, Nduruma – Linafaa kwa Karanga, Viazi na Mihogo
Kichangani, Nduruma, Arusha
Ukubwa
1.2 ekari
Aina ya kiwanja
Kilimo
Aina ya udongo
Udongo wa mchanga
Mkoa
Arusha
Kata
Nduruma
Eneo
Kichangani
Huduma na miundombinu
Maji
Mfereji upo Maelezo
Linauzwa shamba la kilimo lenye ukubwa wa ekari 1.2 lililopo Kichangani, Nduruma. Ardhi ina udongo wa kichanga unaofaa sana kwa kilimo cha karanga, viazi na mihogo. Eneo lina hali nzuri kwa shughuli za kilimo, na uwepo wa mfererji unarahisisha upatikanaji wa maji kwa umwagiliaji. Ni fursa nzuri kwa uwekezaji wa kilimo cha kati au kikubwa.
Eneo
Bei
TZS 19,000,000
≈ TZS 15.8M kwa ekari
Uliza kuhusu kiwanja hiki Mmiliki amethibitishwa
Tunapanga ziara ya kuona kiwanja
Msaada hadi mwisho wa manunuzi
Namba ya kiwanja: 71365933
Viwanja vinavyofanana
Kilimo
Mpya
1 / 13 TZS 19M
Kiwanja cha Kilimo 23m x 70m chenye Udongo Mwekundu Olodenderit, Nduruma
Olodenderit, Nduruma, Arusha
1,610 m² (0.39 ekari)
23m × 70m
Angalia →
Kilimo
1 / 17 TZS 23.5M
Shamba zuri la ekari 0.9 Olodenderit
Olodenderit, Nduruma, Arusha
3,642 m² (0.9 ekari)
Angalia →
Kilimo
1 / 15 TZS 23.5M
Shamba zuri la ekari 0.9 Olodenderit
Olodenderit, Nduruma, Arusha
3,642 m² (0.9 ekari)
Angalia →
Kilimo
1 / 14 TZS 31.5M · TZS 26.3M kwa ekari
Shamba zuri la ekari 1.2 Olodenderit
Olodenderit, Nduruma, Arusha
1.2 ekari
Angalia →